ALEX SANCHEZ ARUDI KWA KISHINDO; Leiceceter 2-5 Arsenal
Katika mchezo uliochezwa jana Timu ya Arsenal iliweza kujikuta ikiibuka na ushindi wa magori 5 zidi ya Leicester.
Katika mechi hiyo Leicester iliweza pata magori 2 kupitia J Vardy, huku Arsenal ikipata magori 5 kupitia Alex Sanchez 3, Walcott 1, pamoja Oliver Giroud.
Mchezo ulikuwa mzuri sana baina ya timu hizo lakini uwezo binafsi wa wachezaji mahiri wa Arsenal akiwemo Sanchez ndio uliosababisha ushindi.
