UTABIRI WA KIBADEN WAINYOOSHA SIMBA!!!!!! Yanga 2-0 Simba
Katika mchezo wa jana pia palikuwepo na mchezo mgumu sana katika uwanja wa taifa, mchezo ambao unapendwa sana na waTz wengi na wenye mvuto kwa kuwakutanisha mafahali wawiliambao ni wakongwe wa soka tz yaani Simba na Yanga.
Katika namna isiyo ya kawaida Simba ilijikuta ikipata kipigo cha gori mbili bila majibu na kufanya mashabiki wa timu hiyo kutoka na uzuni tofauti na walivyotarajia.
Gori 2 hizo zilifungwa na Hamisi Tambwe pamoja na Busungu aliyefunga gori la kichwa akitokea benchi katika dakika ya 79.
