mnim

  • Home
  • Pages
  • Shortcodes
  • About me
  • Download This Template

WENGER AJIBU VIJEMBE CHA MOURINHO; Soma zaidi,,,,,,,,,

mbantu   kocha   23:03   0 Comments

Kocha wa Arsenal Arsenal wenger amrushia ajibu vijembe vya Mourinho pindi alipokuwa akiongea na waandishi wa habari za michezo nchini Uingereza.

Katika kipindi si kirefu Mourinho alimpa vijembe Wenger baada ya kumfunga mechi iliyopita mara baada ya Wenger kulalamika kuwa Diego Costa alistaili kadi nyekundu katika mchezo huo.

Mourinho alimpa vijembe kocha huyo kwa kusema kuwa Wenger amezoea kulalamika, Ukorofi pia kulia kutwa nzima iwe usiku au mchana, kupiga teke maji akiwa uwanjani pamoja na kusukuma makocha wenzie ila haliaangalii hilo na halitambui bali kulalamikia marefa tu.

Baada ya vijembe hivyo Wenger alimjibu Mourinho jana kwa kusema kuwa kocha huyo ashazoea kubebwa na uongozi wa shirikisho la nchi hiyo licha ya kuwa na kauli mbovu na pia anaburudika sana kwa kuwa na mtindo wa kimagazeti ambao Wenger anaamini haufai katika Ulimwengu wa Soka.

kocha

Author Info

mbantu

Dicat ludus erroribus has ea, corpora oportere vel ne. Accusam intellegebat delicatissimi eos et, sed eirmod atomorum hendrerit id, graeco putant labitur nec et. Populo epicurei natum placerat in.

Related Posts

Hakuna maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani

Copyright © mnim