mnim

  • Home
  • Pages
  • Shortcodes
  • About me
  • Download This Template

Sergio ramos amfagilia Carlo Ancelot

mbantu   Soka   05:16   0 Comments

 Beki wa pembeni wa timu ya Hispania na klab ya Real Madrid amemsifia kocha wake huyo kwa mafanikio na uwezo wa kufundisha mzuri ambao umeweza kufanikisha mafanikio makubwa mapema katika kipindi kifupi,

Kwa maelezo yake beki huyo bora ulimwenguni alisema hivi;

`Ana uwezo wa kujua ufanisi wa mchezaji kama anaweza kusaidiana na mchezaji mwenzie katika timu,


`Ni kocha ambaye anakufanya uwe wake na kukufanya uwe karibu kuweza kukuelekeza mbinu sahii, mfanisi katka kazi yake na mwonekano wake,

`huu ndio ufunguo wa mafanikio, na ndio maana ni mmoja kati ya makocha wawili ambao wamefanya vizuri.

`ni bora kwa sababu ya uwezo wake mzuri wa kumiliki timu


Real Madrid imekuwa klab tishio sana ulimwenguni kwa kandanda na imefanikiwa kuongoza ligi kuu ya hispania, licha ya hayo tu mafanikio yao makuu ni kutwaa ubingwa wa kombe la klab za ulaya mara kumi na mwaka jana iliweza kuchukua vikombe muhimu kama vile UEFA, FIFA club na COPA de,......

Soka

Author Info

mbantu

Dicat ludus erroribus has ea, corpora oportere vel ne. Accusam intellegebat delicatissimi eos et, sed eirmod atomorum hendrerit id, graeco putant labitur nec et. Populo epicurei natum placerat in.

Related Posts

Hakuna maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani

Copyright © mnim