Real Madrid yazidi kung`ara ( Elche 0-2 Real Madrid)
Real Madrid Imefanikiwa kuifunga timu ya Elche kwa mabao mawili na kuiweza kuifanikisha timu hiyo kusonga mbele zaidi ya maasim wao Barcelona kwa magori manne.
Magori ya Madrid yaliweza kuwekwa nyavuni na K. Benzema mnamo dakika ya 56, na pia Christian Ronaldo katika dakika ya 69, Ushindi huo umeweza kuifanya timu hiyo kuwa mbele zaidi katika kulisaka kombe la ligi hiyo.
Licha ya hivyo umeweza kumfanya Ronaldo kuwa mbele zaidi ya mabao 3 zaidi ya mhasimu wake lionel Messi