LIVERPOOL 3- 2 ASTON VILLA; Sturridge alinda kibarua cha Rodgers
Liverpool iliibuka jana na ushindi wa magori 3 zidi ya Aston Villa na hivyo kukwea sababu moja wapo iliyotaka imfanye Rodgers kusitishiwa mkataba ndani ya klabu hiyo.
Katika mech hiyo Daniel Sturridge alirudi vizuri uwanjani kwa kufunga magori 2 ambayo yalikuwa ni sababu tosha ya kocha huyo kukwea moja ya kikwazo kimoja juu ya kazi yake.
