MATA AWA KITU MUHIMU MAN U; Man U 3-0 Sunderland
Manchester United katika mechi ya jana imeibuka na ushindi mnono wa magori 3 kwa bila zidi ya Sunderland.
Katika mechi hiyo Manchester United iliweza kucheza mpira katika kiwango cah juu huku baadhi ya wachezaji wakionyesha uwezo mkubwa sana akiwemo Mata na Marshal ambao waliweza kusababisha gori moja la Rooney, pamoja na De pay,
