MOURINHO AZIMA KABISA UVUMI ULIOENEA KWENYE MITANDAO DHIDI YAKE NA WACHEZAJI WAKE
Katika ukurasa wake Mourinho akana kabisa uvumi huo na amesema ya kuwa kuna mahusiano mazuri tu kati yake na wachezaji, na pia katika maelezo yake na waandishi wa habari wa moja ya jarida la michezo alisema ya kuwa anawataka wachezaji wake kutokubali kuizika kabisa timu yao katika matokeo zidi yao southampton
Pia katika hilo Mourinho amekiri kabixa ya kuwa huu ndio msimu wake mbaya sana katika historia yake ya mpira mara baada ya kuchechemea katika ligi ya mabingwa wa Ulaya halikadharika na ligi kuu ya Uingereza kwa kuwa nafasi mbaya
