Christian ronaldo avunja rekodi nyingine katika ligi ya mabingwa ulaya
Mshambuliaji wa timu ya Real Madrid Christian Ronaldo avunja tena rekodi katika ligi ya mabingwa Ulaya.
Katika rekodi hii Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magori 10 katika mzunguko wa makundi katika ligi ya mabingwa Ulaya, rekodi imevunja katika mechi ya jana ya mzunguko wa ligi hiyo mara baada ya kupachika magori 4 ambapo katika mechi hiyo Real Madrid ilishinda magori 8 zidi ya Malmo


