HATIMAYE GUUS HIDDINK ATANGAZWA KUWA NDIE KOCHA MPYA WA CHELSEA mbantu transfer 01:14 0 Comments Klabu ya Chelsea imemtangaza Hiddink kuwa kocha mpya wa Chelsea kufuatiwa na kufukuzwa kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo Jose Mourinho.Hiddink ataiongoza timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu huu na ataanza kukinoa kikosi hicho muda sio mrefu. transfer