Chelsea 2- 0 Totenham

Timu ya chelsea imeweweza kutwaa Premier LIGUE CUP katika pambano lake zidi ya totenham iliyokipiga katika uwanja wa Wembrey stadium. Katika pambano hilo Timu zote mbili ziliweza kukamiana vyema lakini dakika tisini ndizo zilizomaliza uhasama mara baada ya chelsea kuibuka na ushindi wa gori mbili.