Masumbwi; Mazungumzo ya uso kwa uso baina ya Mayweather na Pacquiao tarehe 11 machi
Wapiganaji hatari duniani katika uzito wa chini mayweather na pacquiao waandaliwa mkutano ambao uma utaweza kuwashuhudia wapiganaji hao wa hiari wakijinadi na kuulizana maswali katika ukumbi wa NOKIA Los Angeles jijini Califonia,
Pia katika kumbukumbu wapiganaji hao wamewahi kukutana mara moja januari mwaka huu katika mpira wa kikapu NBAA
Licha ya wawili hao pia Pacquiao atasindikizwa na mwalim wake ajulikanaye kwa jina la Freddie roch, upande wa pili Mayweather atasindikizwa na meneja wake wote, wazamini wake wote pamoja, Raisi wa HBO Ken Hershman pamoja na Raisi wa MGM Richard Sturm.