Lionel Messi azidi kutakata..........Eibar 0-2 Barca
EIBAR 0-2 BARCELONA
Timu bora barani Ulaya Barcelona imeweza kupata na kusonga mbele zidi ya Madrid kwa point nyingine 4 mara baada ya kuifunga Eibar gori mbili kwa nunge.
Magori yote ya Barcelona yaliweza kupachikwa nyavuni na Messi mnamo dakika ya 31 kwa mkwaju wa penati na dakika ya 55.
Kwa matokeo hayo Barcelona inaongoza ligi la hispania ikiwa na pointi 65 yaani nne mbele zidi ya mpinzani wake Real Madrid.
Na katika hali hiyo Messi amemzidi Ronaldo kwa gori 2