mnim

  • Home
  • Pages
  • Shortcodes
  • About me
  • Download This Template

Paul Scholes; Chelsea sio timu kubwa balani ulaya

mbantu   Wachezaji   07:10   0 Comments

Kiungo wa zamani wa timu ya Manchester united na moja ya kamati ya benchi la ufundi katika klabu hiyo amkosoa Mourinho kwa kuifananisha Timu ya Chelsea kama moja wapo ya klabu kubwa barani ulaya.

Katika kipindi cha karibuni Baadhi ya wanasoka barani ulaya waliweza kutoa mtazamo zidi ya klabu hiyo ambayo iko chini ya Mourinho. Wengi waliweza kuisifia timu hiyo mara baada ya kuanza msim huu vizuri, pia Jose Mourinho alikarirwa naye akiisifia timu hiyo kabla ya mchezo wake wa raundi ya pili katika michuano ya UEFA zidi ya PSG.

Paul Scholes alikaririwa naye katika mtazamo zidi ya Chelsea naye alisema maneno haya mara baada ya pambano na PSG;

``Timu kubwa barani ulaya haiwezi kucheza ugenini na kutengeneza nafasi ya gori moja tu, kama jinsi chelsea ilivofanya zidi ya PSG,

``Hata hivyo Chelsea ilishindwa kutengeneza nafasi ya magori Paris, pia imeshindwa kutengeneza nafasi hiyo hata nyumbani ambapo wamecheza na PSG wakiwa pungufu (wachezaji 10).

`` Hali hii inadhihirisha kabisa jinsi Chelsea ilivyokuwa mbali kufikia kuwa nayo timu kubwa ulaya.



Licha ya hayo Chelsea bado ina nafasi ya kuchukua ubingwa wa timu wa timu za Uingereza ambapo hadi sasa ikiongoza pointi 5 zidi ya Manchester city na kiporo kimoja.

Katika miaka hii ya karibu iliyopita timu za Uingereza zimeshindwa kabisa kuwa na upinzani katika mashindano ya UEFA, nAa nyingi zinazofikia zinafikia kwa kuchechemea, hii inadhihirisha kabisa ni jinsi gani soka la Uingereza linavyoporomoka.

Wachezaji

Author Info

mbantu

Dicat ludus erroribus has ea, corpora oportere vel ne. Accusam intellegebat delicatissimi eos et, sed eirmod atomorum hendrerit id, graeco putant labitur nec et. Populo epicurei natum placerat in.

Related Posts

Hakuna maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani

Copyright © mnim