mnim

  • Home
  • Pages
  • Shortcodes
  • About me
  • Download This Template

Spanish Laliga; Lionel Messi kumfikia Christiano Ronaldo katika rank ya magori

mbantu   LA LIGA   12:24   0 Comments

Mshambuliaji mwenye thamani ya juu kuliko mchezaji yeyote duniani katika ulimwengu wa soka ``Lionel Messi'' amkuta mpinzani wake Christian Ronaldo Kwa kufikisha idadi ya magori 30.

Messi ameweza leo kuifungia timu yake ya Barca magori 3 zidi ya Rayo vallecano katika dakika ya 56,63 na 68.

Pia katika mchezo huo Barca iliweza pia kupachika magori mengine kupitia Luiz Suarez dakika ya 5 na 90, na Gerrad Pique katika dakika ya 49. Na kuifanya iongoze gori 6-1 zidi ya Rayo

Ushindi huo umekuwa ni furaha katika klabu na kuifanya iweze kuongoza ligi hiyo kwa pointi 62, point 1 mbele zidi ya R. Madrid

LA LIGA

Author Info

mbantu

Dicat ludus erroribus has ea, corpora oportere vel ne. Accusam intellegebat delicatissimi eos et, sed eirmod atomorum hendrerit id, graeco putant labitur nec et. Populo epicurei natum placerat in.

Related Posts

Hakuna maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani

Copyright © mnim