Barcelona 2-1 Las Palmas; SUAREZ ang'ara,,,,,Neymar awa kilaza
Katika ligi ya mabingwaz wa Uhispania katika mechi ya jana iliishudia vyema Barcelona ikiendelea kugawa dozi licha ya Messi kuumia.
Katika mechi hiyo Suarez aliweza kufanya makubwa Barcelona mara baada ya kufunga magori 2 huku Neymar akitajwa kuwa ni mchezaji aliyecha katika kiwango cha chini mara baada ya kumalizika mchezo huo.

Kwa ushauri, ungemwambia blogdesigner wako aondoe hizo dummy menu hapo juu kama hakuna content za kuweka...
JibuFuta