SANCHEZ AENDELEA KUWA KIVUTIO UINGEREZA; Arsenal 3-0 Manchester United
Timu ya Arsenal jana ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa magori 3 zidi ya timu ya Manchester United katika ligi kuu nchini humo.
Katika mchezo huo timu ya Arsenal iliweza kuizidi timu ya Man U kimpira kwa kutumia fursa nzuri kutengeneza magori 2 kutoka kwa Alex Sanchez pamoja na moja kutoka kwa Ozil na hivyo kukumalisha ushindi mnono wa magori 3 huku wapinzani wao wakitoka bila hata gori moja licha ya ManchesterUnited kumiliki mpira kwa asilimia zaidi ya 60.
Klabu ya Arsenal na Manchester City msimu huu zimekuwa nzuri sana katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza kwa kushinda mechi nyingi hadi sasa.



